Thursday, April 28, 2011

NECTA FORM VI (ACSEE) 2011 EXAMINATION RESULTS RELEASED


The National Examination Council of Tanzania (NECTA) has released the ACSEE 2011 examination results.
ACSEE 2011 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES

2 comments:

  1. Sababu kubwa za kufeli kwa watoto na wadogo zetu huchangiwa na hubadilishaji wa kiholela wa mitaala,na uhaba wa waalimu hata hivyo ni kuna nafasi kubwa ya mwanafunzi mwenyewe kuzembea na tangu ilipoingia hii mitandao ya kijamii imekuwa ikiwaaeka bize sana wanafunzi wengi hivyo kupuuzia kujisomea na mozoezi mengine yahusuyo masomo yao,Innocent Ulomi wa k`ndoni

    ReplyDelete
  2. Safi sana nakubaliana na wewe Bwana Innocent. Lakini je nini kifanyike??

    ReplyDelete