Sababu kubwa za kufeli kwa watoto na wadogo zetu huchangiwa na hubadilishaji wa kiholela wa mitaala,na uhaba wa waalimu hata hivyo ni kuna nafasi kubwa ya mwanafunzi mwenyewe kuzembea na tangu ilipoingia hii mitandao ya kijamii imekuwa ikiwaaeka bize sana wanafunzi wengi hivyo kupuuzia kujisomea na mozoezi mengine yahusuyo masomo yao,Innocent Ulomi wa k`ndoni

ReplyDeleteSafi sana nakubaliana na wewe Bwana Innocent. Lakini je nini kifanyike??
ReplyDelete