Thursday, January 19, 2012

AJIRA MPYA ZA WALIMU KATIKA NGAZI MBALI MBALI 2011/2012

Zifuatazo ni Ajira mpya za walimu wa shule za Secondary, Primary, vyuo vya ualimu pamoja na shule za mazoezi mwaka 2011/2012. Kwa wale wahusika tumia muda wenu kutazama kwa umakini majina yenu. Pongezi kwa wote. 

Imetolewa na Wizara Elimu na Mafunzo ya Ufundi Tanzania

No comments:

Post a Comment